Power Mabula nilikutana naye Arusha wakati wa Cadet training,yeye pia alikuwa cadet. Alikuwa hafanyi mazingaombwe,alikuwa strongman,anashikilia gari mbili,kushoto na kulia zisiondoke,mambo yote haya anafanya katika stadium iliyojaa watu,na kufanya mambo kama hayo. Lakini aliniambia ameumia katika practice[kwa ajili msadizi wake hakufuata directions vizuri],na labda hatafanya shows tena,I don't know what happenned afterwards,alikwenda vitani,vita ya Kagera.
Haikuwa mazingaombwe. A few weeks ago nilimwona mwanake katika ITV anaizuia pikipiki kwa meno yake, kwa MENO. Kwa hiyo haya mambo ya power siyo mambo ya ajabu sana.