Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Naomba kujuzwa kuhusu hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That mean ni lazima itolewe na mtu mwenye akili timamu kwa mtu mwingine anayemuamini?HIO ni kwa usimamizi wa Mali km wewe ni Tajiri, inafanana KIDOGO na Msimamizi wa Mirathi baada ya Wewe kufa utofauti unaweza kumpa MTU hio PA hata km Wewe haujafa na ika-function as if Wewe umeshakufa kuna sababu mbalimbali km kupatwa na UGONJWA mfano kiharusi ukashindwa kufanya shughuli zako unakasimisha usimamizi wako kwa mwingine ndio anapewa HIO PA anaweza kua Mwanao, Ndugu au MTU yoyote unaemuamini
Hio ni document unayosaini kwa Mwanasheria ukiwa na Akili timamu kwamba likitokea lolote la kutokea basi HUYU hapa ninae Mwandika HAPA NDIO atakae simamia kila kitu km MIMI, unagonga Saini unasubiria lolote la kutokea litokeeThat mean ni lazima itolewe na mtu mwenye akili timamu kwa mtu mwingine anayemuamini?