Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
nipo chini ya miguu yako naomba usichakachue. Sawa hamisi?
To me POWER OF LOVE is that willingness of going extra mile for the sake of love,be doing something good or bad for the sake of it
what if a person is willing to protect his/her love but has no ability, ile willingness yake itatosha kuconclude kuwa he/she has power of love?
kila mtu anayo tangia anazaliwa just imagine ni mangapi unaweza kufanya kwa mpenzi wako, watoto wako (ukipata 🙂 ), wazazi wako, marafiki n.k.
Na sio watu tu hata wanyama nimeshaona mifugo mingi mama yupo radhi, kufa njaa au kufa kwa kuwa-protect watoto wake.., kwahio in short ndio power of love ipo and there is no stronger power than this one.., yaani mtu unajisahau nafsi yako kwa ajili ya mwingine
nyani acha!
ya kijinga kama yapi kongosho?
Kupiga simu, tuma sms, kutembeleana, kuongea sana, PMiana, kutoroka home, kuruka geti la nyumbani kwako, kuruka geti la kazini.
Kuchekeana, ktamabasamiana, kucheza cheza wakati mna ndevu.
kila mtu anayo.., yaani kwa ufupi neno UPENDO... (kila mtu anao UPENDO) hivyo basi kama kwa kawaida usingefanya kitu fulani lakini sababu ya kumpenda fulani unafanya (that's power of love).., mfano umechoka ila rafiki yako anaumwa unajitolea kwenda kumuona, umeishiwa kabisa pesa lakini rafiki yako au familia yako haina kabisa chakula, basi upo radhi kukopa ili wenyewe wapate...kwahiyo chochote atakachofanya mtu kwa maslahi ya wengine hata kama kinamuumiza ndio tunaita power of love? Nahisi mi sijazaliwa na hiyo power, we unayo?
kila mtu anayo.., yaani kwa ufupi neno UPENDO... (kila mtu anao UPENDO) hivyo basi kama kwa kawaida usingefanya kitu fulani lakini sababu ya kumpenda fulani unafanya (that's power of love).., mfano umechoka ila rafiki yako anaumwa unajitolea kwenda kumuona, umeishiwa kabisa pesa lakini rafiki yako au familia yako haina kabisa chakula, basi upo radhi kukopa ili wenyewe wapate...
kwahio power of love is the force behind most goodness in the world (all good deeds)
Asante wewe.., usihofu Husninyo.... Its The Power of Loveahsante sana sun wu..
Power of love is being able to go through the ups and downs of intimate relationships,family life and other daily activities and still having a belief in the whole concept of loving one another as the main source of true joy and happiness.Does this ring a bell?
yap, it does.. Ahsante.
niwekee lyrics zake kama unaweza.
The whispers in the morning
Of lovers sleeping tight
Are rolling like thunder now
As I look in your eyes
I hold on to your body
And feel each move you make
Your voice is warm and tender
A love that I could not forsake
'Cause I am your lady
And you are my man
Whenever you reach for me
I'll do all that I can
Lost is how I'm feeling, lying in your arms
When the world outside's too
Much to take
That all ends when I'm with you
Even though there may be times
It seems I'm far away
Never wonder where I am
'Cause I am always by your side
'Cause I am your lady
And you are my man
Whenever you reach for me
I'll do all that I can
We're heading for something
Somewhere I've never been
Sometimes I am frightened
But I'm ready to learn
Of the power of love
The sound of your heart beating
Made it clear
Suddenly the feeling that I can't go on
Is light years away
'Cause I am your lady
And you are my man
Whenever you reach for me
I'll do all that I can
We're heading for something
Somewhere I've never been
Sometimes I am frightened
But I'm ready to learn
Of the power of love