duh! Haya ahsante. Ngoja niendelee kusikiliza na wengine.
Husninyo uwe tu mpole leo utapewa majibu ya kila aina. Sasa kazi kwako kuchambua nini cha kujaza kwenye hiyo homework yako ili iwe na flow inayoeleweka, vinginevyo utazoa zero toka kwa ticha.
Ww una umri wa miaka mingap?una akili au usaha?kaz ya nyumban unaileta jamii frm?@tope au akili?waulize wa2 wa nyumban kwenu ikiwezekana hata bek 3 wenu analo jibu
EMT ulikuwa wapi jamani hadi nishapeleka kazi kwa teacher! Ahsante, nitaburn nibaki nayo.
Husninyo uwe tu mpole leo utapewa majibu ya kila aina. Sasa kazi kwako kuchambua nini cha kujaza kwenye hiyo homework yako ili iwe na flow inayoeleweka, vinginevyo utazoa zero toka kwa ticha.
kwahiyo, kwamfano kama siwezi kujicontrol kumpenda mtu hiyo ndio tunaita POL?
Mi sijajua tu hili wazo aidha mwalimu wake au yeye mwenyewe lina uhusiano na Kifo cha The great?
Halafu watoto wa siku hizi wanasoma shule ambazo unaruhusiwa hadi internet kufanya assignment sijui homework! Siye BBC mbona tutakoma
Hunsinyo hujambo mpwa?
Duh Mkuu is this really necessary ?
Hizi kejeli na lugha nzito sidhani kama zinajenga zaidi ya kupeana hasira. nadhani swali kuhusu upendo kwenye jukwaa la mahusiano ndio mahala pake sasa bek 3 ndio atatoa jibu zuri kweli kuliko umati wa watu hapa.., penye wengi haliharibiki neno mkuu, ila kama maneno yenyewe ni hizi kashfa kweli tutakuwa tunaharibu badala ya kujenga
anyway na wewe umejibu kwa kuonyesha power of hatred / chuki
ndio, unataka nirudi kulala?
hahahaha! We hamisi mbona huna siri! Lol, mi naweza kujicontrol bana. Power of love haimaanishi ung'ang'anie usipopendwa bana.
mwaj wajina wangu (kutokana na nyani ngabu), yaliyobaki nitaendelea kujifunza tu maana kazi nilishamaliza.