Power of Man,Weakness of woman!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe mkristo unabadili dini na yeye anakuchagulia jina!unasahau kuwa jina lile lilikuwa niukumbusho wa bibiyako!Hapo wanaume tuna nguvu za ajabu nanyie wanawake mjijue ni wadhaifu kelele nyingi kwenye majukwaa ila nguvu za asili tulizonazo hamuwezi kuzibadili.
 
ukienda mbali zaidi..........
ME akiamua kitumbua kiliwe kitaliwa...bt
KE akiamua wkt ME hataki hapo game hakuna...
acha kbs kweli Power of Man.......
 
Mdhaifu wewe hapo kwa kuwa na mawazo mtindi kama sio mgando.
 
Ndio maana huwa tunaamua kuwapelekesha kwenye ndoa hadi mnaona nyumba chungu.
 
ukienda mbali zaidi..........
ME akiamua kitumbua kiliwe kitaliwa...bt
KE akiamua wkt ME hataki hapo game hakuna...
acha kbs kweli Power of Man.......

Kuna mwanaume mwenzenu alilalamika kubakwa tena sio kwa nguvu, sijui mwamuweka group lipi!!
 
Kuna mwanaume mwenzenu alilalamika kubakwa tena sio kwa nguvu, sijui mwamuweka group lipi!!

Kutoka group la "Biscut man group of companies" au maeneo mengine wanaitwa "Chapati ya maji group"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…