Power of Storytelling

Power of Storytelling

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Kuanzia kwenye uchumi mpaka kwenye maisha yetu ya kila siku hatuna watu ambao watatuambia kitu ambacho mtu wa Kawaida hawez kukiona

Mfano
Ukienda ulaya utaona planning y miji katika nchi za ujerumani ni tofauti na France, Spain, na england, kote huko ukienda unakuta na upangaji wa miji unique chanzo ni kulikuwa na watu ambao ni storyteller na waliweza kuielezea mini Yao na kuifanya kuwa na identify tofauti

Ukienda wakina Steve jobs, Einstein, newton n.k wote hawa ni storyteller

Ukija Tanzania utaambiwa Kuna resources nyingi lakin kila siku mwigulu anaongeza sifuri kwenye budget iloyopita, ukweli ni kwamba hatuna storyteller wazuri kwenye eneo zima la uchumi

Kwenye historia ya Tanzania ndo Kuna upingufu Mkubwa sana hakuna storyteller mzuri anayoilezea history ya Tanzania vizuri hii ni changamoto

Ukija kwenye miundombinu haivutii hata kidogo sababu hatuna storyteller wazuri kwenye eneo zima la miundombinu

Tanzania ili tuendelee tunahitaji storyteller kwenye kila field kuanzia kwenye history, economics, physics, biology, medicine, engineering n.k
 
Sasa ndio uneandika nini?? Hii tunaita fluff words hakuna pointi ya msingi ni blaa blaa tu unazunguka na kugeuza kurasa lakini no contents.
 
Sasa ndio uneandika nini?? Hii tunaita fluff words hakuna pointi ya msingi ni blaa blaa tu unazunguka na kugeuza kurasa lakini no contents.
Kitu tunachokijua kwa ufasaha watanzania ni kukosoa ndo kipawa tulichopewa

Wewe mwenye content mbona hatuoni maajabu yako unasubiria wenzako waandike ndo uje ukosoe alafu unajiona mwenye akili
 
Back
Top Bottom