Baba_Enock JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 7,076 Reaction score 2,457 Jul 16, 2009 #1 Wakuu, Naomba kama kuna mdau anaweza kunijuvya ni wapi naweza kupata power supply kwa ajili ya tarakilishi yangu ya hp dX2000 na hp d230MT. Nimeulizia hapa jijini Dar kwa ma-dealer wa hp lakini sijapata. Msaada tafadhali. BE
Wakuu, Naomba kama kuna mdau anaweza kunijuvya ni wapi naweza kupata power supply kwa ajili ya tarakilishi yangu ya hp dX2000 na hp d230MT. Nimeulizia hapa jijini Dar kwa ma-dealer wa hp lakini sijapata. Msaada tafadhali. BE