Power supply, na batteries za simu, camera, laptops, comcorder, projectors za aina zote

Joined
Dec 1, 2010
Posts
68
Reaction score
4
Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila unapoi-charge? kama tatizo ni hilo basi unahitaji kuibadilisha ili upate battery iliyo madhubuti itakayokwenda na matumizi yako.
Sisi PACIFICA MARINE tutakutafutia battery unayohitaji katika masoko makubwa duniani na kisha kukuletea mpaka Dar es Salaam. Mpaka kifaa chako kinafika Dar, utakuwa hujalipia hata senti, na utalipia tu siku utakapokwenda kukichukua.
Tuandikie kwenye : pacificamarine@yahoo.com na utueleze shida yako nasi tutahakikisha unapata kifaa chako mapema. Wengi wametujaribu na wameona kuwa biashara yetu ni ya uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…