POWER TILLER KOBUTA

Denis94

Member
Joined
Sep 28, 2026
Posts
34
Reaction score
20
πŸ”₯🚜 NATHANIEL FARM 🚜πŸ”₯

πŸ’₯ POWER TILLER BRAND NEW β€” KOBUTA πŸ’₯

πŸ‡―πŸ‡΅ MADE IN JAPAN

βš™οΈ HP 16
βš™οΈ ZT 155
βš™οΈ RT 155

🌾 MAJEMBE DISC β€” 3

πŸ’°πŸ”₯ BEI: TSHS 7,000,000/= TU! πŸ”₯

βœ… Mpya kabisa
βœ… Imara na yenye nguvu
βœ… Inafaa kwa matumizi mbalimbali ya kilimo

🚨 WAHI SASA β€” USIKOSE NAFASI HII! 🚨

πŸ“ž CALL: 0771466775
πŸ“ TUPO: TEGETA, RABINISIA HOSPITAL
πŸ”₯ NATHANIEL FARM
Vifaa Bora vya Kilimo na Mifugo πŸŒΎπŸ”
 

Attachments

  • 1000235433.jpeg
    179.7 KB · Views: 9
Tela lake bei gani kiongozi au ntapata na tella lake kwenye hiyo 7M ??
 
itafikia muda wakulima wataagiza wenyewe china...hayo matakataka ukinunua china hayazidi 2.5M tsh usafiri hata milioni haifiki....ila mnakuja kutupiga bei mpk 7-9M tena bila ya tela. Wakati kwa pesa hiyo napata kila kitu kuanzia tela mpk impliments zake zote ambazo nyinyi huwa hamzitoi
 

Unaagizia Mtandao gani
 
Umeongea point sana tena hakuna ushulu bandali
 
Umeongea point sana tena hakuna ushulu bandali
pesa yote inalipwa kwenye nauli unapoenda kuchukua mzigo wako...Wakulima tunapigwa sana na hawa wajuba. Kuna jamaa niliwaulizia waterpump ya diesel wakanambia 2.5 M wakati china yanauzwa laki 6 ukiweka nauli mpk mzigo unachukua mkononi haizidi hata laki 9
 
Kama ni mkulima jifunze kuagiza zana za kisasa za kilimo kutoka china au japan..easy tu mzigo unakufikia hata ukiwa kijijini kwenu
Vijana wanafanya udalali wanajisahau wanakula mara mbili ya mwenye mali
 
Vijana wanafanya udalali wanajisahau wanakula mara mbili ya mwenye mali
sio poa aisee hizi powertiller mbunge wa mbarali ,Harun Pirmohammed alikuwa akizigawa kwabsh 2M tu ila ghafla watu kati wameingilia kati wamezipandisha hadi 6m na zile zenye mikono mirefu mok sh 11M
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…