mwanzoni zilikuwa msaada mkubwa sana kwa wananchi kwa sababu zilikuwa AFORDABLE kwa maana ya kununua......wakuu naomba insight ya hizi tilers
najiuliza faida, sustainability na matimizi ya hivi vitu kutoka na nchi yetu jamani
lengo ni kuangalia sera ya kilimo kwanza na kama kweli kwa mwendo wa hivi vitendea kazi vinaendana