bei zake
Nahitaji kwa ajili ya kilimo lakini kama kuna ambazo zinakazi za ziada nitashukuru kuelimishwa zaidiView attachment 3011588
Bei hutegemea.
Hivyo ongeza maelezo ili wadau wakkupe ushauri stahiki.
- Uwezo wa Power Tiller, Tiller yenye HP ndogo bei yake ni ndogo pia.,
- Model/ Muundo wa Power Tiller husika | Yaani Je power tiller husika ni maalum kwa kazi moja au inauwezo wa kufungwa vifaa tofauti tofauti ili ifanye kazi tofauti.
Ingia hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasaambazo zinakazi za ziada nitashukuru kuelimishwa zaidi