Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 720
- 1,545
Hujausoma uzi wew..mbona bei kawekaPrice mkuu!!
Na wewe umenisoma lakini hujanielewa!!Hujausoma uzi wew..mbona bei kaweka
Zipige sound Mzee,zitakubali tuuBei: 970,000 najaribu kuweka picha zinakataa
"...pili bei kubwa sana haina uhalisia,.." DELL core i3 6th gen laki 9 tena dell inspiron, haina uhalisia?? Mkuu unajua computer kweli??, hii sio latitude. Pia Hii sio kwa kuangalia movie au kudownload series online hizi ni kwa ajili ya 'SOFTWARE PROGRAMMING'Core i3 nayo ni powerfull sikujua, pili bei kubwa sana haina uhalisia, inaonekana nawewe ulipigwa bei kubwa, kwa hiyo bei uliyoweka napata core i7 nzuri kabisa, na kama nitaongeza kama 300k basi hapo unaongelea ultrabooks matata tena i7,
Lengo si kuharibu biashara ila bei kidogo imenishtua, samahani sana kama hii post italeta usumbufu machoni mwako.