MPUNGA MMOJA
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 304
- 401
POWERTILER ni aina ya trekta ya tairi mbili, kina uwezo wa kulima eneo kubwa kwa muda mfupi.
Ni kifaa cha kulimia kilirichorahisishwa zaidi kusaidia Mkulima wa chini na kati.
Ni kilimishi kilichokuja kufanya mapinduzi ya kilimo hasa Mpunga ingawa kinatumika kulima mashamba ya Mahindi, Maharage na mazao ya aina ya nafaka.
~ Mafuta diesel lita 2 unaweza kulimia mpaka eka 4.
~ kinalima, kinavuluga
~ Kinatumika kubeba mizigo sababu kina teller.
Bei zake
~ Kubota 7M mpka 8M
~ Amec 4.5M
~ SWAM 4. 5M
Hizi bei sio fixed inategemea na maduka.