Pozi la Christmass

Hahahaa sisi kuna sikukuu moja tulitoa glass kabatini tukapigia picha kila mtu kashika yake. Glass zilikuwa tupu hazuna kitu ndani
 
Nilivyoiona hii picha nimeshituka kweli nikahis ni ile yetu tuliopiga 1995

Sema nipo mbali na home ningeiweka hapa

Yaan zinafanana sana ingawaje ile yetu mwenye miwani alikuwa mmoja tu,ila namna ya kusimama na huo mchanganyiko wa rika ni hvyo hvyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…