Ndo mana wahenga wakasema kosea vyote ila usikosee kuoa au kuolewa matokeo yake ndo tunayaona kwa jide ni dhairi kabisa kwamba Gardener alikuwa anampa stress Dada wa watu.. Kuna mijanaume mingine ni stress tupuu[emoji57] Ona sasa alivokuwa mcharoo
Nampenda sana huyu Mdada mpaka basi
#huumchezohautakihasira.. NDINDINDINDI[emoji4] [emoji4] Mtaziogaaa
weweeee huwaga hapigi za mwii mzima, huku chini hakuna cha maana kabsaa.MTOE MWILI MZIMA TUONE
Hakujawahi kuwa na binadamu m'baya,ila ubaya au uzuri ni macho ya mtazamaji ndio yanayotafsiri.
daaah kumbe mawani hayo yanaona mbali eeeh hata mm nimeona kuwa ni materialsHuyu ndio wife material....ni wachache wenye kulitambua hilo.....
daaah kumbe mawani hayo yanaona mbali eeeh hata mm nimeona kuwa ni materials
safi saanaSisi watu wazima tunaweza kuona mpaka visivyo onekana kwa macho.....ndio maana wahenga wakanena kuwa utu uzima dawa......