Kwa mtazamo wangu hizi ndio picha za kishamba:
1. Kupiga picha umeshika soda
2. Kupiga picha ndani ya gari, malango wazi, umeshikilia sterling, na unamuangalia mpiga picha.
3. Kupiga picha umesimama kando ya TV
4.....endelezeni
"[[/QUOTE]Kuleta uzi usio na mashiko wakati Taifa liko katika wakati mgumu mno ambapo watawala wanafanya watakayo pasipo kujari wananchi.Huo nao ni ushamba''