celineelibariki Member Joined Jan 6, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Jan 4, 2012 #1 wadau mambo zenu, heri ya mwaka mpya, naomba kujuzwa kuhusu interview ya ppf Saccos vipi wameshaita second round?
wadau mambo zenu, heri ya mwaka mpya, naomba kujuzwa kuhusu interview ya ppf Saccos vipi wameshaita second round?
S sabrisadick Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Jan 4, 2012 #2 Kitambo sana watu wanasubiri kuitwa kuanza mzigo