Kutokana na maelezo hapo chini ambayo nimetoa kwenye website yao sehemu FAQ, ni jukumu la PPF kuhakikisha michango inafika, na kama haifiki na PPF hawakupi ushirikiano basi nenda kwenye chama chenu cha wafanyakazi watakupa mwongozo au wizara ya kazi kuna kitengo kinashughulika na matatizo ya wafanyakazi.Mwajiri hajalipa michango yangu PPF miaka.2. Kila akikumbushwa anadai hana fedha na inaonesha hilo sio priority kwake! Naomba kujua cha kufanya kisheria ili kumlazimisha anilipe haraka nitakapoacha kazi.