Wewe sikiliza wasije wakakudanganya, BAF inalipa kuliko kozi yoyote kwa bongo! Usiangalie eti uhasibu unafundishwa kila chuo, BAF tena ya Mzumbe ni exceptional!! waajili wengi wanawahitaji, na vijana wanatoka kiurahisi zaidi! Hilo li PPM lako utapoteza muda bure, na kutoka mwanangu itakuchukua muda mrefu, pia ni kazi ambayo inaurasimu mkubwa, lakini BAF serikalini na private, international na local zote hizo ni market yako, lakini PPM? labda serikalini, na serikalini nafasi mpaka uwe unarefa, lakini BAF ni vyeti vyako tu!!! tena kama GPA nzuri, utalinga!!!