Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia TTCL); Watu Binafsi wanaweza wakashindana na UMMA kwenye Soko Huria; Mfano badala ya kulalamikia Vodacom na Bundle (TTCL anaweza kuwa Shamba Darasa)..;
Sasa nimeona limekuja wimbi la PPPs kutangazwa kama vile ndio mkombozi au ni jambo jipya; ni vema tukaangalia huko nyuma yale Makampuni ya UMMA tuliyobinafsisha na kugawa yameleta Tija kiasi gani...
TTCL (2001 mpaka 2016)
TTCL was privatized on 23rd February 2001, where by a Consortium MSI of the Netherlands and Detecon of Germany acquired 35% shares of the company from the Government of Tanzania.
Je Utendaji Uliongezeka?
TANESCO (2002 mpaka 2006)
Tuliingia mkataba na Netcom Solutions ya Africa Kusini ili iweze kuendesha Tanesco (Na hapo tulipata Msaada wa SIDA na World Bank) Je hizo Pesa zilifanya kilichotakiwa kufanyika ?
Je tulipata tija kiasi gani?
NHC
Hawa hata sasa sijui Vision na Objectives zao; hawa pamoja na Asset za kutosha ambazo zilikuwa za UMMA walianzishwa ili kuhakikisha watu wanapata affordable housing; matokeo yake wamejikita kwenye Biashara na kushindana na private companies kwa kutumia asset zetu na mbaya zaidi wala hawana nafuu yoyote kulinganisha na fully private companies.., ;
National Bank of Commerce (NBC)
1, Absa Group Limited, 55.0 ; 2, Government of Tanzania, 30.0 ; 3, International Finance Corporation, 15.0 ;
Wala sisi sio Major Shareholder; Je ufanisi na tija ni kiasi gani ?
Hitimisho
Ubinafsishaji lazima uendeane na Ushindani; bila competition hakuna tija; kwahio kuliko Serikali / UMMA kujitapakaza huku na huku na kufuja pesa zetu ni bora tujikite kama UMMA kwenye mambo machache tu (Commanding Heights of Country Economies) na vitu vya Huduma na hivyo vifanyike kwa ushindani kwenye Soko Huria..., mambo mengine ni ya kuachana nayo watu binafsi wafanye; na kama Serikali ikiingia isiingie kwa UBIA bali iingie kivyake kama inaona inaweza kuleta TIJA / AFFORDABILITY kwa mwananchi zaidi ya watu Binafsi waliopo Sokoni kwa wakati husika.; UBIA wenye Tija kwa Kampuni za UMMA ni kwa mambo ambayo either hawawezi kufanya au hawana expertise (zaidi ya hapo ni kuweka rehani pesa ya mlipa kodi)
Pia soma
- David Kafulia atolea ufafanuzi wa Adani kuwekeza katika Miundombinu ya Umeme kwa Ubia