Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Uzuri wa PPR ni nini?PPR ni za kishamba japo ni nzuri kuliko IPS na IPS pia ni za kimaskini mkuu! Mi nyumba zangu zote nimeweka HDPE kutoka uingereza!
PPR ni za kishamba japo ni nzuri kuliko IPS na IPS pia ni za kimasikini mkuu! Mi nyumba zangu zote nimeweka HDPE kutoka uingereza!
Nilitegemea utoe comparison kwa kuangalia pressure handling capacity, quality na availability. Huo ushamba uliousema bado haujajibu swali la mtoa madaPPR ni za kishamba japo ni nzuri kuliko IPS na IPS pia ni za kimasikini mkuu! Mi nyumba zangu zote nimeweka HDPE kutoka uingereza!
At least wewe unaonekana unajua materials unlike hao wengine wanaoleta upopoma wa ipsHDPE ni nzuri zaid japo ghali kidogo ndo maana mafundi wanapenda IPS pipe
Mkuu hukutoa mrejesho ulitumia bomba gani.Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.
Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.
Asante
Uzuri wa ips ni kwamba kuna kiungo kinaitwa Union ingawa mafundi wengi siku hizi hawakitumii ila ni cha muhimu sana kwani wakati wa kufanya maintenance kinakusaidia kufunga au kutenganisha mabomba tofauti na ppr ukichoma ndo basi ikitokea bomba limepasuka inakua ngumu kulifanyia matengenezo.PPR na IPS japo kwa picha tuone utofauti wake. Zinatofautianaje?
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.
Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.
Asante
Nimefika atua ya kuweka mfumo wa maji safi ndani ya nyumba. Naona fundi kaandika IPS ambazo ni rangi ya Damu ya mzee lakini most of my neighbours naona wametumia PPR ambazo ni rangi ya kijani.
Naomba kujua ubora kati ya PPR na IPS na gharama zake zikoje.
Asante
Uzuri wa ips ni kwamba kuna kiungo kinaitwa Union ingawa mafundi wengi siku hizi hawakitumii ila ni cha muhimu sana kwani wakati wa kufanya maintenance kinakusaidia kufunga au kutenganisha mabomba tofauti na ppr ukichoma ndo basi ikitokea bomba limepasuka inakua ngumu kulifanyia matengenezo.
Mkuu kwanini vyoo na bafu za nyumba zetunza kiafrika ni ndogo sana tofauti na vyoo vya nchi za wenzetu ambavyo unakuta vina space kubwaKwa upande wangu mimi kama fundi bomba Ppr si rahisi kuvuja kwa sababu tuna zichoma ni nzuri hila athari zake ni kwamba ni ngumu kufanya maintanance endapo itatokea bomba limepasuka lakini ips ni rahisi kufanya maintanance lakini fundi inabidi awe makini sana katika kuunganisha viuongo kusitokee mvujo all in all ips ni nzuri hizo za kijani ndiyo ppr View attachment 2346211View attachment 2346214
Hela bath ikiwa kubwa inaitaji vitu vingi jaccuzi n.kMkuu kwanini vyoo na bafu za nyumba zetunza kiafrika ni ndogo sana tofauti na vyoo vya nchi za wenzetu ambavyo unakuta vina space kubwa