Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga.
Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia haukuwa rafiki maana ulikuwan na Paper work nyingi lakini haukuwa na shida kama huu wa NEST.
Siku za hivi karibuni umekuwa na shida hasa ida ya asubuhi mpaka jioni saa 12 unakuwa haupatikani, mathalani jana nilikuwa na tenda 4 zote nimefail kuzituma kisa mtandao upo down.
Leo naona wametuma Email ya Kuomba msamaha wakongeza siku ya kufungua tenda za jana lakini mpaka sasa bado mtandao upo chini haiwezekani kutuma.
Naomba watu PPRA wajitadhimini, Maana imekuwa kero kubwa sana+.
Majibu ya Mamlaka, soma hapa ~ PPRA: Inapotokea kuna changamoto ya Mtandao katika Mfumo wa NeST huwa tunasogeza mbele muda wa Tenda