The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mamlaka ya Udhibiti na Ununuzi wa Umma nchini PPRA, imefungua ofisi za Kanda ya kusini zitakazokuwa katika mkoa wa Mtwara, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Abdlah Mwaipaya ameongoza zoezi Hilo.
Ufunguzi huo wa ofisi za Kanda uliofanyika ijumaa Tarehe 28 Februari 2025, ulienda sambamba na semina kwa waandishi wa Habari zaidi ya 40, iliyolenga kuwajengea uwezo juu ya kazi za PPRA.
Kaimu Meneja wa PPRA Kanda ya Kusini Fenias Manasse amesema kazi kubwa ya kitengo hicho ni kuhakikisha mfumo wa ununuzi nchini unafuata sheria,kanuni,taratibu na kuakisi thamani ya fedha katika michakato yote ambayo inafanyika ili serikali iweze kupata ela ambayo imekusudia.