wadau hali zenu? Naomben msada wa kimawazo au wa kupata sehem ya kufanyia field ya wik 6,kwan sehem niliyopata ni halmashaur ya serengeti lakn huko ni mbali na mimi ni mwenyeji wa nzega tabora. Nko udom nasoma project planing,management and comunity devlpmnt. Asanten