Pradise City Hotel (NSSF) nayo yabadilishwa jina

Pradise City Hotel (NSSF) nayo yabadilishwa jina

Joined
Sep 17, 2011
Posts
9
Reaction score
2
Mmmesikia matangazo luluki ya hii hoteli inaitwa JB hotel na ishauzwa kwa mtu mwingine na jina limebadilishwa toka paradise na mmiliki mpya.
Nadhani wa mwanzo alikuwa ni msomali wa sasa hivi ni mzalendo mwenzetu. kwa hiyo style ni ile ile ya Kempsiky na Movenpick
 
Hivi ndio namna tulivyotengeneza mazingira ya kuibiwa. Tanzania kweli ni shamba la bibi!
 
Sio mara zote hoteli ikibadili jina ndio iwe tumeibiwa? Itakuwa bora mkatuwekea data.
 
Back
Top Bottom