Pradise City Hotel (NSSF) nayo yabadilishwa jina

Joined
Sep 17, 2011
Posts
9
Reaction score
2
Mmmesikia matangazo luluki ya hii hoteli inaitwa JB hotel na ishauzwa kwa mtu mwingine na jina limebadilishwa toka paradise na mmiliki mpya.
Nadhani wa mwanzo alikuwa ni msomali wa sasa hivi ni mzalendo mwenzetu. kwa hiyo style ni ile ile ya Kempsiky na Movenpick
 
investor mpya huyo kapewa tax holiday 5yrs
 
Hivi ndio namna tulivyotengeneza mazingira ya kuibiwa. Tanzania kweli ni shamba la bibi!
 
mganda sio mbongo

Sasa naelewa kwa nini Air Uganda imeingia nao kwenye ubia wa promosheni ya kupata punguzo ukipanda Air Uganda na kuamua kufikia hapo.
 
Sio mara zote hoteli ikibadili jina ndio iwe tumeibiwa? Itakuwa bora mkatuwekea data.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…