Car4Sale Prado 150 maarufu machozi for sale

Hiyo model ya mwaka 2007 uiuze 90m sijui madalali wa Dar mnashida gani mnaona watu wote wajinga au ni njaa zenu hiyo pesa naaguza Rangerover sports mbili mpya kutoka uingereza.
 
This is 2009 model, for 90 mil is very very expensive, usitegemee kuuza bei zaidi ya uliyonunulia

Kwa jinsi maisha yalivyobana, hii maximum around 40-44 mil mteja unapata.. 90 mil huwezi uza hata kidogo, kama huamini subiri uone na next year ukiuza hata 40 mil una bahati..

Range Rover Sports HSE ya 2011, 70,000- 90,000 km watu wanauza hadi 33 mil direct from UK, sasa linganisha na hii, kwa bei ya 90 mil nadhani unapoteza muda kabisa.
 
You must’a been living in a cardboard box. Au tuseme una ukichaa fulani kuja na hiyo bei ambayo haiendani na thamani halisi ya bidhaa hata kidogo.
 
Hiyo model ya mwaka 2007 uiuze 90m sijui madalali wa Dar mnashida gani mnaona watu wote wajinga au ni njaa zenu hiyo pesa naaguza Rangerover sports mbili mpya kutoka uingereza.
Wanadanganyana sana hawa watu, wakikaa vijiweni mwao full kudanganyana na kupeana moyo. Wanadhani wateja wote ni ma mburula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…