Ni ya petrol au diesel?CAR FOR SALE
MAKE ; Toyota
MODEL ; Prado
COLOUR ; Silver
Cc ; 2690
YEAR ; 1999
NUMBER ; C
ENGINE ; 3RZ
full a.c
PRICE ; 11,500,000/=(fixed-mwisho wa ofa hii ni alhamisi 11/04/2019 saa 12 kamili jioni)
NB : THE CAR IS AVAILABLE FOR IMMEDIATE SALE
-Gari iko Dodoma
-Gari haina tatizo lolote
-Full documents
+255767833496
+255622111186View attachment 1067179View attachment 1067180View attachment 1067181View attachment 1067182View attachment 1067183View attachment 1067184View attachment 1067185View attachment 1067186
Sent using Jamii Forums mobile app
3RZ hua ni petrol
sasa mpaka kila mtu ajue ni ya fulani, dodoma ni kubwa kuliko TanzaniaNi ya wizi?
Mbona unaficha namba za gari?
Kwani kuuza gari ni siri?sasa mpaka kila mtu ajue ni ya fulani, dodoma ni kubwa kuliko Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
hujui sheria ya biashara unapiga piga makelele tu hapa.Kwani kuuza gari ni siri?
Watu wanauza/kodisha viungo vyao vya uzazi na wanaweka public,sembuse kuuza gari?
Kudadadeki, limetoka Dodoma hili gari? Silitaki hata kuliona, hili litakuwa gari Guest House lililotumiwa na machangu wa Dodoma au wabunge wetu mafuska. Tafadhali litoe hapa mara moja unatuchefua.
Watauza hata visivyouzika!Tangu Magu aingie magogoni ni mwendo wa kuuza magar tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sheria ya biashara inayokutaka ufiche namba ya gari ipo kwenye sheria zilizotungwa na bunge, sheria ndogondogo za jiji la Dodoma?hujui sheria ya biashara unapiga piga makelele tu hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huwezi kunijibu bila kunitukana?Kagari yanauzwa na yananunulia tangu yalipobuniwa acha ujuha, kwa taarifa yako watu wanaagiza magari kila siku kama huamini ingia dar kila gari utakuta namba DL,DN DM, DP etc
Unachefuka?
Utakua na mimba ya miezi 6
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda ni ya marehemu na yeye ni msimamizi wa mirathi.Ni ya wizi?
Mbona unaficha namba za gari?
Dogo nitakupuliza wewe?