VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,138
- 2,267
Yep! Between 50 - 73 M TZS.
Hapa bila kodi au?
najaribu ku upload pic ila nakataa aisee ungeiona hiyo gari mkuu ungekubali mwenyewe
Driving + TV = Death
TV za magari ya kisasa zinakuwa kwa abiria, hususani seat za nyuma na si kwa dreva. Hivo haisababishi ajari, tena zinasaidia kufanya abiria wasimpigishe story dreva