Pastory Kimaryo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 967
- 668
Oh okay, lakin ile movie unaipata?Simply police wanafanya mass surveillance, wana track activities za watu katika mitandao ya kijamii na katika mitaa kupitia CCTV cameras.
Kwa njia hiyo ni rahisi kuweza ku predict uhalifu kabla haujatokea na kuweza ku arrest wahalifu kabla hawajatenda kosa.
Mfano kikundi fulani kinajadili mpango wao wa kuvamia bank flani na police wakaweza kuwa track mazungumzo yao ni rahisi kuwathibiti kabla ya kutekeleza mpango wao.
Downside ya hii kitu ni kuwa privacy ya watu inakuwa haipo na ndio jambo ambalo lilimfanya Snowden akavujisha taarifa za siri kuhusu mass surveillance ya NSA 2013 huko US.
HapanaOh okay, lakin ile movie unaipata?
Kwenye hiyo movie ndio kuna chemba wamewakamata watu watatu wamewadeep kwenye pool flan hiv ya liquid flan wameconnect bongo zao na mitambo yao then yupo mmoja huyo anatabiri, ila plot yenyewe ni mwaka 2045 future kinoma, smart cities mtupu, matech tu. Ila mass surveillance ndio hamna labda walitumia tu hiyo term "pre crime" kumaanisha prevention of crimes ambazo actually zina probability kubwa ya kutokea.Hapana
Ni kitu ambacho kipo nduguMinority report
Hayo ni mambo ya kufikirika tu hakuna uhalisia
Okay hizo ni science fictions (sci-fi) tu ila in reality ni kama nilivyokueleza hapo juu.Kwenye hiyo movie ndio kuna chemba wamewakamata watu watatu wamewadeep kwenye pool flan hiv ya liquid flan wameconnect bongo zao na mitambo yao then yupo mmoja huyo anatabiri, ila plot yenyewe ni mwaka 2045 future kinoma, smart cities mtupu, matech tu. Ila mass surveillance ndio hamna labda walitumia tu hiyo term "pre crime" kumaanisha prevention of crimes ambazo actually zina probability kubwa ya kutokea.
Star mwenyewe ni jamaa mmoja aliye-star series ya "the tomorrow people" sijui wanamuitaje, kafanana na Christian Ronaldo
Yeah, true that's true!Okay hizo ni science fictions (sci-fi) tu ila in reality ni kama nilivyokueleza hapo juu.
😹😹Police wanaajiri mpiga ramli mkuu wa polisi na ndio anachungulia hayo matukio before action
Mambo ya science fiction hayo.Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next coming crimes na kuzizuia, nikajaribu kugoogle hiyo technology basis ya utendaji kazi wake upoje sikupata jibu la kueleweka. Naomba nieleweshwe kama kuna mtu anajua coz pia nilivyogoogle nikaona kwamba hiyo technology ni real na inatumika huko Marekani.
Naomba kuwasilisha!
Hapo nimekupataMambo ya science fiction hayo.
Ila kwa kifupi ni kwamba Pentagon walikuwa na hiyo project na uenda bado ipo ambapo wanafanya survellance, wanaiba data wanafuatilia watu wanachopost na kufanya kwenye social media kutokana na hizo data mfumo unaweza otea nani ni criminal na nani anaelekea kutenda uovu. Kupitia data wanaweza kujua tabia za watu.
Kwa mfano, unaingiza taarifa za "past crimes" za jiji la Dar es Salaam kwenye software fulani ya ku-predict crime tuseme inaitwa "Crime Prediction Software", halafu inakuonyesha kuwa wakati wa Chrismas, sehemu inayoongoza kwa crime kwa mfano, tuseme ni Mwananyamala Sokoni. Polisi wanachofanya ni kuhakikisha kuwa Mwananyamala Sokoni ndiyo ina Patrol kubwa zaidi wakati wa Chrismas. Christmas ijayo tena wanafeed information na kuona eneo lipi ambalo linaongoiza kwa crime. Hii ndiyo pre-crime technology, ambayo wakati mwingine hata uzoefu tu unaweza ukatumika pale ambapo hakuna software, kwa sababu mara nyingi askari wenyewe wanakuwa wanajua ni maeneo gani korofi. HIi kazi nilikuwa naitamani ila basi tu tulikwepana!Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next coming crimes na kuzizuia, nikajaribu kugoogle hiyo technology basis ya utendaji kazi wake upoje sikupata jibu la kueleweka. Naomba nieleweshwe kama kuna mtu anajua coz pia nilivyogoogle nikaona kwamba hiyo technology ni real na inatumika huko Marekani.
Naomba kuwasilisha!
unaweza ukawa sawa, kuna story niliskia polisi wa china wana mfumo unaoweza kuunganisha matukio uka predict kama mtu anataka kuanya uhalifu sikumbuki sana nathan hiyo pre crime technology inawaza ikawa trueHabarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next coming crimes na kuzizuia, nikajaribu kugoogle hiyo technology basis ya utendaji kazi wake upoje sikupata jibu la kueleweka. Naomba nieleweshwe kama kuna mtu anajua coz pia nilivyogoogle nikaona kwamba hiyo technology ni real na inatumika huko Marekani.
Naomba kuwasilisha!
Ulikuwa unatamani ila basi mkakwepana 🙀🙀🤔🤔🙄Kwa mfano, unaingiza taarifa za "past crimes" za jiji la Dar es Salaam kwenye software fulani ya ku-predict crime tuseme inaitwa "Crime Prediction Software", halafu inakuonyesha kuwa wakati wa Chrismas, sehemu inayoongoza kwa crime kwa mfano, tuseme ni Mwananyamala Sokoni. Polisi wanachofanya ni kuhakikisha kuwa Mwananyamala Sokoni ndiyo ina Patrol kubwa zaidi wakati wa Chrismas. Christmas ijayo tena wanafeed information na kuona eneo lipi ambalo linaongoiza kwa crime. Hii ndiyo pre-crime technology, ambayo wakati mwingine hata uzoefu tu unaweza ukatumika pale ambapo hakuna software, kwa sababu mara nyingi askari wenyewe wanakuwa wanajua ni maeneo gani korofi. HIi kazi nilikuwa naitamani ila basi tu tulikwepana!
Sitaki kuamini movie kali kama ile ilichezwa 2002Minority report amecheza tom cruise.
Ile movie ni science fiction hakuna cha kweli ni kama comic book movies.
2y##f!!#22###22!#!22$6666!%&!-+[emoji203][emoji13]Habarini wana tech JF, katika pita pita zangu za kuwatch movie na nini, nikakutana na movie(sikuweza kulijua jina lake) inahusisha maswala ya pre crime technology ambayo kwa humo ndani police wanatumia science fulan kuzuia crimes kabla hazijatokea ni kama kuna namna kuna watu wanaprophesy next coming crimes na kuzizuia, nikajaribu kugoogle hiyo technology basis ya utendaji kazi wake upoje sikupata jibu la kueleweka. Naomba nieleweshwe kama kuna mtu anajua coz pia nilivyogoogle nikaona kwamba hiyo technology ni real na inatumika huko Marekani.
Naomba kuwasilisha!
[emoji13]5|£[emoji769][emoji769]££[emoji769][emoji769][emoji533][emoji192][emoji533][emoji3049][emoji1646][emoji1648][emoji3049][emoji3049][emoji533][emoji13][emoji13][emoji857][emoji857][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji1648][emoji533][emoji1648][emoji1648][emoji1646][emoji3049][emoji3049][emoji3049][emoji1642][emoji1648][emoji3049][emoji1648]!!!2!-j ![emoji3049][emoji1648][emoji1648]!2#6[emoji1646][emoji530][emoji533][emoji3049][emoji1648]55667####÷[emoji2957][emoji3049][emoji1641][emoji13][emoji251][emoji1786][emoji2957][emoji848][emoji2957][emoji2957][emoji857][emoji857][emoji857][emoji857][emoji848][emoji52][emoji19][emoji1783][emoji1781][emoji1786][emoji1781][emoji56][emoji56][emoji10][emoji28][emoji857][emoji854][emoji11][emoji12][emoji6][emoji28][emoji16][emoji854][emoji847][emoji857][emoji857][emoji16][emoji857][emoji43][emoji6][emoji18][emoji10][emoji2957][emoji10][emoji43][emoji18][emoji43][emoji43][emoji42][emoji43][emoji1781][emoji18][emoji40][emoji18][emoji18][emoji849][emoji849][emoji849][emoji28][emoji846][emoji251][emoji230][emoji251][emoji251][emoji230]oggdog&wmt9mto!#e#2ueSzeuee[emoji881][emoji2957]uuWeuzeszr!2¢[emoji769]`[emoji769]2#`uzsusweuezww#3!5772#!#£[emoji769]÷¢÷[emoji769]•Πeuzw8!723!!!7!⅞!#!5!7#[emoji13]3##27!7!22[emoji3526]83!73![emoji250][emoji251][emoji192][emoji250][emoji250]!737!4!7377!!2#63#72!735#5#75#!#5!2!|######[emoji2957][emoji857][emoji2957][emoji12][emoji13][emoji12][emoji2957]#####3#!!####⅞7!3%££[emoji769]£[emoji769]÷£[emoji769][emoji769][emoji769]£[emoji769][emoji857][emoji769][emoji769][emoji13][emoji13][emoji857][emoji10][emoji2957][emoji857][emoji2957][emoji857][emoji2957]£|[emoji769][emoji769]£££££[emoji769]!##!#$##2!![emoji13][emoji13][emoji13]####!!!2#!##[emoji192][emoji250][emoji250][emoji2957][emoji3526][emoji190][emoji12][emoji3526][emoji1642][emoji12][emoji1642][emoji1648][emoji1647][emoji2957]Mkuu bado hujaiona 2001 a space odyssey.Sitaki kuamini movie kali kama ile ilichezwa 2002