Pre form five tuition

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Jamani, wazazi kuweni makini, na baadhi ya walimu, wa mchikini walimu wamekalia kuwa mara muddy ana one ya tatu, mbuga one ya nne, muramura one ya tatu, walimu wote waliobaki akina mgote, unga,na akina mdau wanapondwa na baadhi ya mawakala wa akina muddy kuwa mgote alipata physics "d"sisi kama watalaam wa elimu ubora wa mwalimu haupimwi kwa division one ya tatu, bali maadili na uttaalamu, kuna vijana wamefundishwa ana akina muddy bado ni nwabivu kwa hiyo swala si one swala je mtoto yupo tayari kusoma wazazi na wadau wote wa elimu tuwenimakini na majigambo haya ya akina muddy
 
hili mngemalizana hukohuko mchkchni! hujui hesabu nini?katatzo kadogooo mpaka uje J.F kulialia!
 

hvi ubora wa mfanyakazi unapimwaje?

mwalimu kufaulisha ndio kipimo chake kimojawapo kama ulikuwa huelewi....
 
Hahaha. Kwanza kwa nini wanasoma pre-form five? Division 6 kazi Sana. Serikali sijui inatupeleka wapi hii.
 
Kuna walimu wana GPA za 4.5 lakini mpeleke darasani uone.Ataongea peke yake bila kujua anaowafundisha wanaelewa au la.Mimi ni mwalimu by professional, ninachoelewa mimi teaching sio Div one au GPA kubwa bali talent na ubunifu wa mbinu za kufundishia na kujifunzia mpk wanafunzi wakakukubali.Mf huku vyuo vikuu hao wenye GPA kubwa hawawezi hata ku-facilitate material to the leaners hasa special frm school, lkn ukimkuta mwl wa chuo kikuu aliyeanzia cert,dip, bachelor, mastrz tisha mbaya hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…