Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
Tution=tuition,
Na bado mnadundisha watoto wetu kiingereza???
Sijaona ulichokosoa.Tution=tuition,
Na bado mnadundisha watoto wetu kiingereza???
21 November 2015, comment Ina miaka mitatu sasaSijaona ulichokosoa.
Hatudundishi kiingereza. Tunafundisha.
Bado tunaendelea kufundisha. Nime reply kwa lengo la kulifanya tangazo hili lionekane juu kwa sababu huu ndiyo msimu wa vijana kutafuta masomo.21 November 2015, comment Ina miaka mitatu sasa
Hongera mkuu, bila shaka mtakuwa na resiters wengi mwaka huu maana Naona 70% wamefeliBado tunaendelea kufundisha. Nime reply kwa lengo la kulifanya tangazo hili lionekane juu kwa sababu huu ndiyo msimu wa vijana kutafuta masomo.
Ndiyo mkuu. Msimu wa Pre form five umefika tena. Wanafunzi wafike bila kukosa.Hongera mkuu, bila shaka mtakuwa na resiters wengi mwaka huu maana Naona 70% wamefeli