Pre form five zanzibar

NaCl

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
40
Reaction score
3
Jaman naomben msaada kwa anayejua tuition hapa zanzibar wanapofundisha PCB. Anielekeze mahali ilipo na kuhusu gharama zake zikovp. Ntashukuru kama mtanisaidia ndugu zangu!!
 
Mkuu ingia mtandao wa Mzalendo.net ndio utakutana na wazenji wenzako ambao wanaweza kukujulisha ila humu JF tumejaa watanganyika thus why inakuwa vigum kujua zanzibar.
 
Mkuu ingia mtandao wa Mzalendo.net ndio utakutana na wazenji wenzako ambao wanaweza kukujulisha ila humu JF tumejaa watanganyika thus why inakuwa vigum kujua zanzibar.

kweli mkuu
 
Nashukuru kwa msaada wenu ndugu zangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…