PRE-FORM ONE: Mkopo au muwekezaji anahitajika kufanikisha Pre-Form One Programu

PRE-FORM ONE: Mkopo au muwekezaji anahitajika kufanikisha Pre-Form One Programu

Black Bolt

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
257
Reaction score
417
Habari

Tumefanikiwa kufungua kituo cha Tuition maeneo ya Charambe Majimatitu, mwezi ujao tunafanya programu ya Pre-Form One kwa wanaomaliza darasa la saba.

Tumefanikiwa kuweka matangazo ya kitambaa na karatasi.

Cost zilizobaki
A) kwenda mashuleni (shule 5).

B) Vipeperushi & T-shirt

C) Maintainance ya darasa.

Jumla 200,000.

------------------------------------------------

First Term (Muwekezaji)

Investor:
Anahitajika muwekezaji atakaetoa 200,000. tutagana sawa kwa sawa Divide mwisho wa program.

Profit:
Kila mtoto faida 35,000 tunalenga kupokea watoto minimum 60.

Security:
200,000 aliyotoa muwekezaji atapewa baada ya Ku register watoto wamwanzo.

------------------------------------------------

Other Term (Mkopo)

Kukopeshwa 150,000 tutakulipa kwa riba tutayokubaliana.

Security:
Utarejeshewa pesa mapema baada ya Ku register watoto wa mwanzo.

NB: tunahitaji mapema zaidi ndani ya siku tatu.


INBOX FOR NEGOTIATION.
 
Kila la heri katika hiyo safari yenu ya uthubutu.
 
Sijui kwa maeneo mliopo lakini hizo programe mara nyingi ni pasua kichwa mnaweza weka minimum watoto 60 lakini mpaka programe inaisha umeambulia vichwa kumi tu na ulipaji wa kusuasua labda uwe ulijiandaa muda mrefu kuwapata hao wanafunzi miezi 5 nyuma
 
Back
Top Bottom