Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Nawasalimu na kuwapongeza wote mliofanikiwa kuchaguliwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Kampasi zake mbalimbali. Wote mliochaguliwa JK Nyerere Mlimani, MUCE,DUCE na SJMC nawakaribisha kwa maelekezo ya mwanzo juu ya chuo chetu pendwa UDSM. Karibuni muulize kuhusu mambo mbalimbali ya kitaaluma na kijamii.
Mnaweza kuwasiliana name pia kwa PM pamoja na pemelewa@hotmail.com. Karibuni!
Mnaweza kuwasiliana name pia kwa PM pamoja na pemelewa@hotmail.com. Karibuni!