Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Pre-orientation ndo nini mkuu maana sielewi hapo ulimaanisha nini eti??
samahan mkuu we unasma koz gan mana me nmechaguliwa mechanical eng vp ikoje?i mean kiajira en kuna ki2 kinaitwa aris naomba unfafanulie hapo mkuu
Uwaambie kabisa kwa wale watakaokua wakazi wa mabibo,kuna shato pori..pia uwaambie kuna code za msoc ambazo ni 100,001,011,010,101 na 111.over