Pre-Season Match: Simba Sc yaua 6-0

Sisi manyani wa uto hayo matokeo ya simba kushinda hatuyatambui. Manara katuambia mmefungwa goli 12 leo na Pyramids na walishangilia kabisa magoli yao Mwezi May. Haya matokeo yenu mmekaa mkapika mje kitudanganya kwa kuwa mechi haijaoneshwa popote.
 

Attachments

  • 20220723_143916.jpg
    82.6 KB · Views: 4
Hayo mawili ya Sakho naskia ya viwango vile vile vya CAF

Mtoto ana dharau huyu yani anaangalia mbele afu anafunga nyuma
Watajutraaaaaaaaaaaah kumfahamu mdogo ake Mane.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii timu wamekanusha haya matokeo, wanasema hawajacheza na Simba. Sasa nyie mmeyapata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…