Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ni watu ambao hawaangalii mbele unaenda misri kucheza na timu ya mwisho daraja la pili sasa si bora ungebaki hapa hapa ukaomba kucheza na ruvu jktKimsingi ratiba nzima ya pre-season mpaka mechi zilipaswa kupangwa na kujulikana kabla ya kuanza!
Haya mambo ya kutafuta timu kwa kuokoteza ni ukosefu wa weledi!
Unaenda misri kucheza na timu ya mwisho daraja la pili kwa akili yako hiko ni kipimo cha uimara wa timuNaomba uelewe maana ya Pre season,vinginevyo nawewe ni mbumbu tu kama wenzio wasioelewa
Umeulizwa unaelewa maana ya Pre season?Ni watu ambao hawaangalii mbele unaenda misri kucheza na timu ya mwisho daraja la pili sasa si bora ungebaki hapa hapa ukaomba kucheza na ruvu jkt
Pre season ni maandalizi ya msimu.Umeulizwa unaelewa maana ya Pre season?
Hauna upeo wa kufikiria..mbona hushangai timu kubwa ya Ausbugh kucheza na timu ndogo ya YangaUongozi wa simba kuna mda unashangaza sana
Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha
Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko ilivyo misri ambapo ligi inaendelea na ni ngumu kupata kipimo kizuri
Wanaoendesha timu ya simba wakiongozwa na dewji wajifunze kufanya mambo professional waache ujanja ujanja
Si lazima kukutana na timu ya nchi hiyo. Mwaka jana Simba walicheza na CSKA Moscow ya Russia wote wakiwa preseason UturukiUongozi wa simba kuna mda unashangaza sana
Unaenda kufanya pre season kwenye nchi ambayo unajua kabisa ni ngumu sana kupata timu ya maana ya kujipima kwa sababu kubwa ligi haijaisha
Kwanini wasingeenda moroco ambako nako ligi imeisha na wananafasi kubwa sana ya kupata kipimo kizuri kuliko ilivyo misri ambapo ligi inaendelea na ni ngumu kupata kipimo kizuri
Wanaoendesha timu ya simba wakiongozwa na dewji wajifunze kufanya mambo professional waache ujanja ujanja
Wale wajerumani waliocheza na Yanga kama unajua mpira kuna usawa wowote pale, ni hivi nikufundishe Pre season ukicheza mechi yoyote ni kutafuta au kuweka mili sawq baada ya rikizo ndo mana hata timu kubwa duniani huweenda pre season kwenye vinchi vidogo kimpira, mech za pre season hazinaga mbinuUnaenda misri kucheza na timu ya mwisho daraja la pili kwa akili yako hiko ni kipimo cha uimara wa timu
Umeupanua sana ubongo wake. Kama hajachanganyikiwa sijui, nipo paleeeHauna upeo wa kufikiria..mbona hushangai timu kubwa ya Ausbugh kucheza na timu ndogo ya Yanga