Jamani hawa watu wa precision air ni matapeli au nini? Tangu wauze hisa na kusema watato vyet vya hisa zaidi yamiezi mitatu imepita vyeti hakuna wala hisa hazijaingia sokoni
Hivi hakukuwa na timeframe ya kukamilisha mambo hayo? Hata mimi nimeanza kuingiwa na hofu. Isije ikawa kama yale mabo ya manispaa ya Ilala na viwanja vya kinyerezi. Wamekusnya mkwanja halafu wakakimya!