Precision air inaelekea wapi?

lubnatheone

New Member
Joined
May 23, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Kenya Airways yazidi kuitelekeza Precision Air. Hali yao yazidi kuwa mbaya,wafanyakazi kama isemekano bado hawajalipqa miezi miwili. Wamiliki wa ndege zilizokodiwa wabishia kuzichukua,serikali ya zanzibar pia yazidi kuwabana.
Sasa wamesimamisha hujuma dhidi ya Fastjet na Atcl,wanataka mazungumzo na serikali.
 

What goes around; comes around; PW!!! they sabotaged, vandalised and cannibalised ATCL; now it is payback time.
 

Welcome to JF. Vipi wamekutenda nini mkuu! Umeingia leo leo na post yako ya kwanza ni hii... Pole lakini.
Back to the main topic..........
 
No problem acha wafe tuu wengine wataingia kuchukua nafasi yao as long as kuna demand...FREE MARKET!!
 
PW kwa TZ bado ni mkombozi kwa sekta ya usafiri wa Anga. japo nauli zao na huduma hazivutii sawasawa na Bei zao. wakijipanga vizur PW itakimbiza si TZ, bali East, Central & Southern Africa, ona RWANDAIR wa juzi tu mbona wametoka na wanakula vichwa kama wameanza miaka 20 iliyopita?
 

Nilivoona kapewa u MD mama tena muislamu nikajua tayari precision inaelekea kuzimu
 
Bei zao zinatia kichefuchefu..yaani zinaumiza ile mbaya. Ukiangalia sababu kubwa ya kuwa na nauli kubwa kiasi hicho hakuna. Lakini ukichunguza utagundua kuwa kinacho ongeza nauli kuwa kubwa kiasi hicho ni pamoja na viburudisho wanavyo toa ndani ya ndege. Fastjet wameliona hilo na wakaamua kuachana na kugawa viburudisho. Hivi kuna umuhimu gani wa kugawa viburudisho kwa safari ya saa 1:30? Siyo wote wanao vihitaji ni hivi ndivyo vinavyo ongeza gharama. Wafanye kama Fastjet, wapoze nauli halafu atakaye hitaji viburudisho analipia.
 
Tangu mwanzo nilisema kuwa hii strategic alliance waloingia na KQ ilikuwa debatable. Sidhani kama ililenga katika kuifanya Precision Air isimame imara. Kwanza wafanyakazi ndani ya ndege moja wako wengi balaa, na kuna vitu vidogo vidogo ndani ya ndege vinavyoongeza gharama. We safari ya saa moja unatoa viburudisho, vya nini? vingekuwa incentives mwanzoni bt sasa vimeendelea tu. Na haya yote yanaongeza gharama kwa msafiri japo hayaongezi efficience ya kampuni!
 
Welcome to JF. Vipi wamekutenda nini mkuu! Umeingia leo leo na post yako ya kwanza ni hii... Pole lakini.
Back to the main topic..........
Haha!! Na mara ya mwisho kutumia JF ni July 29,2013, 6yrs hayupo, alidumu miez miwili tuu..haonekani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…