Precision Air is the Worst Airline and aviation company

Precision Air is the Worst Airline and aviation company

Theodora

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2009
Posts
802
Reaction score
571
pre.jpg

Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air.

Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda.

Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
 
Anakuja bwana swalaaaa
Kisha sema Hi...🎶🎶🤣🤣
 
Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
Precission Air wakiona abiria wamepatikana wanakimbilia Karakana wanawasha ndege, vingine vitamaliziwa kufungwa baadaye.
Mwenye Kampuni ameshaondoka, lazima abiria wa kuondoka naye wamfuate. Huo ndiyo utaratibu wa kiafrika.
 
Hujawajaribu air Tanzania ndio wana majibu unaweza tamani bora ungeenda dar mwanza kwa kukimbia wenda ungejenga na mwili
 
Vibali watoe wao halafu wachunguze tena wao hiyo ni sawa na ile mihemko ya barua ya Leseni ya polisi eti wao watoe Leseni kupitia TRA halafu wao tena wanahakiki hivyo vyeti sio Tume ingine mimi nilisema sintakwenda kwa kuwa Cheti ninacho na Leseni ninayo tutakutana huko huko Mahakamani kama watakataa kuwa taarifa za Cheti cha udereva wao hawana...
 
Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.

Mwaka wa 10 huu tunateseka na ndege za Tanzania ila tunafanyeje sasa!
 
Anayetoa vibali ili ndege ziwe registered na kuruka achunguze Precision Air. Precision gharama zao ziko juu, wahudumu hawana msaada na ndege zao hata siku moja haziheshimu muda. Wapewe ultimatum. Hawafai na hawana professionalism.
Twende taratiib, umepata changamoto gani hasa?
 
wakinyimwa vibali ATCL hana ndege za kutosha hata kwa route za ndani tu.
Usafiri wa anga ni shida tu hapa Tz
Ilikuwaje Fastjet alikuwa na ndege 3 ila alikuwa na miruko mingi?

ATCL haina watendaji wazuri maana wana ndege nyingi ila ratiba zao hazifai
 
Hivi ni Mimi naona au ni kweli ndege za kampuni hii zinafanana na ndege za mizigo Marekani?
 
Noma sana. Hivi niulize kati ya precision na air Tanzania, ni lipi linatengeneza faida?
 
Back
Top Bottom