Duh, jamani precision Air wamezidi, lazima kila wiki wa-cancel au kusogeza mbele time za kuondoka hasa route ya Dar-Mwanza. Hebu jiulize mtu unatakiwa kuondoka leo Jumatatu saa 8.40 alasiri inasogezwa hadi saa 1.40 then 2.10 lakini hadi sasa hakuna dalili. the bad thing you dont provide any feedback or apology for such delays. hebu jirekebisheni bana.
natangaza rasmi kuamia kwa Fly 540 kwa muda wakati niki-evaluate performance.
Precision tafadhali ondoa ubabaishaji.
Hivi kwanini Air Tanzania hawaendi Mwanza wanaenda Kigoma na Tabora tu ili hali wanajua kuwa route ya Mwanza ndo yenye watu wengi?