Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?
Naomben muongozo mtu akitaka kuuya hisa zake katika kampun anafanyaje? mim nilinunua hisa kwenye hili shirika na ninataka kuuza help me with procedurez plz
Mh hata mie nilinunua hisa huko lkn kufilisika hapana!
Naomben muongozo mtu akitaka kuuya hisa zake katika kampun anafanyaje? mim nilinunua hisa kwenye hili shirika na ninataka kuuza help me with procedurez plz
Du, wamekunyima tiketi ya dezo nini mkuu ukaja kumalizia hapa.
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?
Nenda ukiwa na hati yako ya hisa kwa mawakala wa soko la hisa kwa mfano Orbit Securities, nk - Ila kwa sasa usishangae wakichukua muda mrefu kuziuza, na pengine kwa bei ya hasara, kwa sababu ya hali ya mashaka ya precision.Naomben muongozo mtu akitaka kuuya hisa zake katika kampun anafanyaje? mim nilinunua hisa kwenye hili shirika na ninataka kuuza help me with procedurez plz
Je ungependa kubadili mtazamo na maoni yako ?
Naomben muongozo mtu akitaka kuuya hisa zake katika kampun anafanyaje? mim nilinunua hisa kwenye hili shirika na ninataka kuuza help me with procedurez plz
Naomben muongozo mtu akitaka kuuya hisa zake katika kampun anafanyaje? mim nilinunua hisa kwenye hili shirika na ninataka kuuza help me with procedurez plz
Wafilisike wakati hawana mshindani? Hujasikia wanavyokaribia kufaulu kumwondoa Fastjet kwa mbinu za ujanja baada ya kuimaliza ATC/ATCL?
Wako bankrupt,kuanzia juzi wamesitisha huduma zao Kigoma na inasemekana hazitarudishwa tena ''hadi notisi ya baba'' till further notice.inasemekana na kwingineko kwingi wamesitisha route.Mwenye macho aambiwi tazama,habari ni kweli kabisa.
Ukisikia wamefilisika ujue wadau wakubwa wametoa pesa zao na share zao wameziuza KQ na kwa Public...mwenyewe Michael Shirima amekaa pembeni anakunywa kahawa yake pale Kibo Palace taratibu!