Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
[h=1]
source https://www.precisionairtz.com/index.php?id=9[/h] Mr. Alfonse M. Kioko
Group Managing Director & CEO
Alfonse Kioko is the Chief Executive Officer of Precision Air Services. He is a graduate of Harvard Business School Advanced Management Programme (AMP 174). He holds a Bachelor of Arts degree in Economics from University of Nairobi (1985) and a Master of Arts degree (Planning) 1987, from the same University. Mr. Kioko is also a graduate of Cape Town University Business School (Management Development Programme). He has had further trainings in aviation from Maastricht University (Netherlands).
Precision Air yatangaza mkurugenzi mkuu mpya
KAMPUNI ya Ndege ya Precision Air, imemtangaza Sauda Rajab, kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa kampuni hiyo. Sauda anatarajia kuanza kuitumikia nafasi hiyo mpya kuanzia Machi mosi mwaka huu na awali alikuwa akilitumikia Shirika la Ndege la Kenya kwa miaka 23.
Katika shirika hilo, Sauda alishika nyadhifa mbalimbali ikiwamo nafasi ya Meneja Mkuu wa Kitengo cha Mizigo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima, alisema jana, kwamba Sauda ataleta mtazamo mpya wa kiutawala katika na kuifanya ikue zaidi na kujenga ushindani kwa kampuni kubwa za usafiri wa anga duniani.
Ana uwezo wa kujenga katika msingi ambao tayari wafanyakazi wengine wa kampuni wameweza kuujenga.