Precision Air Mkurugenzi Mkuu Wenu ni nani?

Kimbunga

Platinum Member
Joined
Oct 4, 2007
Posts
14,951
Reaction score
9,977
[h=1]
source https://www.precisionairtz.com/index.php?id=9
[/h] Mr. Alfonse M. Kioko
Group Managing Director & CEO
Alfonse Kioko is the Chief Executive Officer of Precision Air Services. He is a graduate of Harvard Business School Advanced Management Programme (AMP 174). He holds a Bachelor of Arts degree in Economics from University of Nairobi (1985) and a Master of Arts degree (Planning) – 1987, from the same University. Mr. Kioko is also a graduate of Cape Town University Business School (Management Development Programme). He has had further trainings in aviation from Maastricht University (Netherlands).






Precision Air yatangaza mkurugenzi mkuu mpya


KAMPUNI ya Ndege ya Precision Air, imemtangaza Sauda Rajab, kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa kampuni hiyo. Sauda anatarajia kuanza kuitumikia nafasi hiyo mpya kuanzia Machi mosi mwaka huu na awali alikuwa akilitumikia Shirika la Ndege la Kenya kwa miaka 23.

Katika shirika hilo, Sauda alishika nyadhifa mbalimbali ikiwamo nafasi ya Meneja Mkuu wa Kitengo cha Mizigo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Precision Air, Michael Shirima, alisema jana, kwamba Sauda ataleta mtazamo mpya wa kiutawala katika na kuifanya ikue zaidi na kujenga ushindani kwa kampuni kubwa za usafiri wa anga duniani.

“Ana uwezo wa kujenga katika msingi ambao tayari wafanyakazi wengine wa kampuni wameweza kuujenga.
 
Alitaka tumjue shangazi yake.

Mkuu siyo hivyo. Ukitembelea mtandao wa Precisionair unakuta Kioko bado ndiye CEO hata sasa hivi tembelea uone. Tatizio ni kwamba tulitangaziwa kwamba shangazi anashika ofisi tarehe moja ila hadi sasa kwenye mtandao ni Kioko ndiye CEO.

Nimeandika hivyo ili kuonyesha jinsi ambavyo hawa jamaa hawako makini. Kuendesha shirika la ndege kunahitaji umakini wa hali ya juu sana kila idara. Sasa kukiwa umakini haupo kwenye mtandao mimi nakuwa na wasiwasi wa shirika hili.

Juzi nilikuwa Mwanza nikashuhudia jinsi wafanyakazi wa Precisionair wanavyopitisha mindoo ya samaki bila kupimwa. Hapo pia umakini unakosekana. Kuna siku samaki wa mwanza watatuletea maafa.
 

uko sahihi mkuu Kimbunga. Kwa shirika ambalo liko makini mabadiliko makubwa kama hayo yanapofanyika immediately hata kwenye mtandao yanatakiwa yaonekane kwani kuna watu wanatembelea mtandao wa shirika mara kwa mara.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…