Precision air si mnaenda na mbeya do some updates kwa web yenu!

Precision air si mnaenda na mbeya do some updates kwa web yenu!

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Ukipitia kwa hii link https://www.precisionairtz.com/index.php?id=15 utakuta destination za PW ila Mbeya haimo.
Kuna jamaa katoka nibishia as alitaka kwenda Katavi NP baada ya kuangalia iyo page mpaka nilipo mpa ushuhuda kuwa personally huwa napanda kwenda mikoa ya kusini.
 
Sugu na wenzake wanabishania jina la airport wakati vitu kama hivi ni muhimu zaidi!
 
michael ngareku shirima yuko nalala
 
Back
Top Bottom