Ukipitia kwa hii link https://www.precisionairtz.com/index.php?id=15 utakuta destination za PW ila Mbeya haimo.
Kuna jamaa katoka nibishia as alitaka kwenda Katavi NP baada ya kuangalia iyo page mpaka nilipo mpa ushuhuda kuwa personally huwa napanda kwenda mikoa ya kusini.