Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...
Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.
Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737
Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....
hawa ni wapuuzi sana, mwezi april tulishawahi subiri ndege masaa nane (8) jnia,ndege dar-shinyanga iliyokuwa iondoke saa moja asubuhi walicancel kwa sababu za ajabu sijui haikuwa na abiria wa kutosha, mwanzo walidai in fault watwambia tusibiri mpaka saa nane. Na kibaya zaidi badala ya kutupeleka shinyanga wakatupeleka mwanza na hata tofauti ya nauli hawakuturudishia. Hii air zara iliyoanza kuoperate mwanza-dar wakiwa imara watachukua soko la precision
masaa matatu tu ni issue kubwa ya kuleta kwenye forum? wangefuta safari ingekuwa habari kuu kwenye prime time news?
biashara imewashinda!Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...
Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.
Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737
Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....
Ni kweli yanatokea lakini jambo muhimu ni wafanyakazi wa Precision hawakumbuki kuwasiliana na abiria.hata ulaya hutokea
Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...
Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.
Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737
Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....
Ni kweli yanatokea lakini jambo muhimu ni wafanyakazi wa Precision hawakumbuki kuwasiliana na abiria.
Kwa mfano huwa wanaandika kwenye ticket zao pale Dar kuwa ufike airport check in time 14:00hrs unafika pale saa saba na nusu unasimama pale mpaka saa tisa hata huoni bango lao Precision ku-check in.
Hata anayekuja kuzungumza na abiria kuwaeleza kinachoendelea. Zaidi ya hapo pale checking in area hakuna viti wala mazingira ya kupumzikia abiria. Aibu, aibu kubwa.
Big-up precision air......angalau mnajitahidi kuwahudumia watanzania kuliko ATCL ambayo ni marehemu.
Biashara ya usafiri wa anga ina challenges zake na hasa wakati huu wa uchumi duni. Delay ya ndege kutokana na hitilafu au sababu nyingine wala huwezi kulaumu shirika haraka haraka, je, unataka warushe tu hata kama wananona kuna tatizo?
Pamoja na kuweka lugha nzuri katika Website yao...
Precisionair is successfully networking the entire region with our unique combination of speed, convenience and reliability for both tourists and business travelers. Remember, we have an over 98% on-time performance record which means we are always on schedule.
Mimi nipo Mwalimu Nyerere International Airport kwa masaa matatu nikisubiri wageni wangu wanaotokea Mwanza na Flight PW 413 BOEING 737
Mbaya zaidi saa saba na nusu waliwatangazia kuwa wanarekebisha kwa dakika 25 lakini sasa ni almost masaa matatu bado wanasubiria bila ya kuambiwa lolote....
jamani haya mambo ni ya kawaida ni tatizo la "COMMUNICATION" na tatizo hili si tatizo la AIRLINE ni tatizo la kampuni ya swissport hawa ndio wanaotangaza dly imefikia wapi...sasa basi kama wahusika wanahangaika kurekebisha incase ya technical prblm hawa ndio wenye majukumu ya kuwafwata na kuwauliza jamani dk 25mmlizosema zimeisha tutangaze ngapi...kama awajaenda ndio maana mnakuta abiri analalamika kachuniwa no ni majukumu ya swissport kutangaza dly tym....
Kuhusu swala la kuchelewa kwanza shukuru Mungu wako
ni bora uchelewe kwa ndege za tanzania kuliko uwahi usifike ndugu....historia inaonyesha wale marubani waliojifanya kuwahi huku ndege wakijua ina technical prblm hivi sasa wako mbele za haki wakisubiri hukumu na abiria wao...sasa ni mapema hili kutokea ......swala moja nililoliona pale airport ni kwamba airline nyingi hazina kitengo cha emergency ....nikimaanisha ikitokea tatizo lolote kunatakiwa watu special wawe answerable kwa abiria....wao ndio wanaokuwa wakipeleka taarifa kwa swissport incase wakiwa busy...hili halipo ndio maana utakuta ikitokea dly yoyote rubani anatoa taarifa ,mara security anatumwa kupeleka taarifa...mara mpika chai unakuta hata walichotumwa sihaba kusema dly dk 30 waka taja 1hr.....tuwe na kitengo kinachojali abiria wakati kama huu....
Nanyie abiria labda tuelezane ukweli ni vizuri ikitokea tatizo kama hili tutafute kwanza suluhisho badala ya kuanza kutukana ...lawama,,,naeleza kutokana na ukweli halisi kinachofanya watu wa airline wanwakimbia kipindi cha dly ni lugha chafu hata kama kuna tatizo la technical anatumwa mtu wa airline mnaanza kumshambulia hata kabla ajaanza kujibu....mnafikiri kuna atakaesogea...tena wanasema waacheni watarudi wenyewe