Precision air yakwama Mwanza


mkuu veracity
labda kwa taarifa zaidi,,hili swala la kujihandle...precission si sehemu ote kwenye sehemu za mizigo.....wana vtoroli tu lakini gari zinazovuta mizigo ni swissport...kwenye swalal la kutamka ama kufwatilia dly ni swissport...kule dep precission hawana mamlaka ya kwenda kutangaza muda wa dly labda mungu arudi...so ukisikia wamejihandle sio sehemu zote br,still swiss wana plypart.....
 
Mkuu mama mia nimeshuhudia Presicion jana wakijikanyagakanyaga KIA kwa vile waling'ang;ana kuji handle wenyewe.Pale wamepewa counter zao. wana staff wazito sana, schedules zao zilikuwa in disarray maana hawana uzoefu eneo hilo.Nilijaribu kuwauliza wenyewe na wakakiri kuwa kila kitu kuanzia passenger handling hadi kutangaza ni jukumu lao na siyo swissport tena.Ilikuwa kazi kwelikweli maana foleni zao zilikuwa hazisogei kabisa!
 

Mtoto huanza kukaa then hutambaa halafu husimama then kutembea kabla ya kuongea! Wapeni muda watatengamaa na kwa taarifa yenu by the time hao Sonangol wanakuja ATCL it will take them not less than 4 yrs ku-catch up na Precisionair! Unachezea watu kwenye fani? That's Tanzania's finest!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…