Precision Air yasitisha safari za Mbeya

Siwezi amini kuwa hii nchi imejaa mapumbavu na failures wenye chuki kwa success za wengine..halafu mnataka uzalendo?Sasa wazawa kweni ni akina nani?Ndizo akili za muhongo, kuchukia waliofanikiwa kwa vile yeye hajafanikiwa pamoja na kuwa na elimu zake?Precionair wameshikilia hili taifa likiwa halina ndege for a long time otherwise wageni wangekuwa wameshikilia hili anga....ila wapuuzi wanadaleta chuki...AKILI zA KIPIMBI KUWA UNAWEZA KUWA MZAWA AS LONG AS SI MCHAGA ZINAPELEKEA TAIFA KUGAWANYIKA.Sasa hivi wachaga wameshagundua chuki zenu,wanaanza jihami ..MTAISHIA KUIAB KODI ZAO TUU ILA SI KINGINE KENGE NYIE....NA KODI ZIKIWA NYINGI WATAJIFUNZA KUZICHUKUA KWA KUFANYA KAZI NA SERIKALI HATA KWA KUPITIA NJE ,SI KAWAIDA YENU KUWAPA WATU WA NJE,HAO WA NJE WATALETWA NA MCHAGA ILI WAWANUNUE ,MWISHO WA SIKU DILI IRUDI KWA MCHAGA.
 
ni ukweli usiopingika kuwa mmojawapo ya sababu ya PW kuanguka ni kupeana ajira za chupi & UCHAGA na ubahili katika kulipa staff fikiria air hostess analipwa allowance ya 5,000/= kwa siku bila kujali ameruka trip/route ngapi hewani? yaani 5,000/= air hostess si sawa na kondakta wa daladala?
 
Duh haya bana nchi haina shirika hii hatari sana
 
Kukosa elimu ya uwekezaji na uchumi kunawaponza sana.....sasas chupi ina uchaga,sasa ulitaka mchaga nae awanyime wachaga kazi km mnavyotaka wabana?Ndio kusema mmeahalalisha kuwamaliza kabisa?Km allowance ndogo km ya koda kwanini wasichague ukonda wa daladala?ulitaka wapewe hela km dau na JK wanavyogawa hela ya nchi wakidhani ni dhambi ikiongeza hazina ya nchi...kweli waswahili mtafanana na wengine kwa sura,kuvaa..ila bado ni watu tofauti sana. Hizo allowance hupitishwa na body na wataalamu wa business kutokana na business financial positions.And in fact ile kampuni inaendeshwa na wakenya...kwa share walizoziweka...... Endeleeni kula party na hela za wavuja jasho mnaowapiga vita pale NSSF(mashirika mengine ya pension) +kodi za wachaga TRA wanazozikusanya...halfu muwapige vita muone km serikali ikianza lazwa njaa...na wachaga waje gombea mgawo km mtapona kima nyie.Usidhani hela ya nchi kwa vile wachaga hawana time nayo ndio hawana haki ya kuitafuta km nyie.Na majukumu ya kufanya kazi halali nje ya hizi za kula ktk madhabahu ya serikali ili mlipe kodi ni jukumu lenu pia.
 
kwani fastjet inatumia mafuta ya taa!??
Precision wana business model tofauti... wana target watu watabaka la kati naa juu....sasa km mbeya hawapo...na hata mafuta inategemea km fast mafuta..wanaweka mengi wakitegemea mzigo kidogo.In fact mbeya hakuna vitu vingi sana vyenye standards.....hata mahoteli,dili etc..si km Arusha,dar , mwanza....CEO ,VIPs etc wanaruka kila siku zaidi ya mara moja.
 



Mbona una ukabila sana?
 
Wachaga ni watu hatari sana kwa nchi hii..


Nakumbuka waliimaliza ATCL makusudi wapige faida sasa kila kitu kinakwenda kombo...


pole yao
 
Nchi hii sintoshangaa kusikia walipewa!

Aah wapi JK yupo makini coz walitaka peana kikabila ikapigwa chini na tayari ATCL ipo mbioni kununua ndege mbili mambo ya kupiga ndogondogo kwa watz sasa basi wakishindwa biashara wakalime ndizi tuu...
 

Unatia aibu mkuu, mambo ya ujamaa na kujitegemea achaneni nayo. Biashara ni ushindani, ukitoa huduma mbovu na bei kubwa watu wanahama Tu. PW imejiua yenyewe wala msisingizie Fastjet.
 

Wewe Ni kichaa, fanya utafiti kabla ya kuropoka
 
Precision labda waanzishe DAR-MORO wanaweza kupata wajinga wajinga wenzao
 
Ulukolokitwanga kulikon tena ndugu!! kichaa nani tena? kwani uongo PW ni mwendo wa chupi mkononi? mbona unapanic sana? tulia sindano iingie vizuri. Nimefanya utafiti wa kutosha mkuu nina uhakika na nisemayo
 
Hisa zetuuuuuuuuuu jamani c bora ningeua shamba huko kwet
 
Mbona una ukabila sana?
Kwani thread ni ya nini hii hapa.Na michango yenu ni ipi?Vipi mmezidiwa vilaza nyie?KUjibu wakabila ndio ukabila ?Ukabila dhidi ya wachaga si ukabila ila wakipambana nao ndio ukabila.Hamuaachi kuonyesha jinsi mlivyo duni kifikra na kiutamaduni.Hamuewezi jitoa hata mkijifanya mnapigania haki.
 

Labda issue kubwa hapo ni hasara. Miji kama Mtwara kuna mafuta ya ndege, lakini mbona Precision wanaenda?
 
Wachaga ni watu hatari sana kwa nchi hii.. Nakumbuka waliimaliza ATCL makusudi wapige faida sasa kila kitu kinakwenda kombo... pole yao
Kwani CCM ilishawahi toka madarakani?Si Mmekuwa mkiwapiga vita miaka yote imekuweje wapate uwezo wa kuiua ATC wakati ikiwa chini yenu?
 
Precision waliishi kwa fitna mwishowe wameumbuka sasa yaani ndege ya saa 12 asb inaahirishwa unapaa saa 1 usiku. SHAME UPON THEM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…